Sunday, November 4, 2012

SWAGGAZ..... KUCHA...

Kiukweli kucha ni sehemu ya urembo.... nilipendezewa na hizi...
si lazima kuwa nazo on daily basis but occasionaly zinapendeza.





Thursday, November 1, 2012

DODOMA WITH LOVE......

 
Wadau wangu nawashukuru sana kwa maoni yenu ya kila mara na kwa moyo mkunjufu pokeeni asante za ziada kwa support na orders. I wish to place u all in the blessings hands of Almighty so abundance may be with always...

shukrani za pekee kwa dada Shamim Mwasha... na dada Salome Tais....u stay blessed sis...