Tuesday, October 16, 2012

KITCHEN PARTY GALA

Tunazungumza mengi kuhusu mahusiano,familia,ndoa na yanayomhusu mwanamke kijamii kwa ujumlakaribu sana.Itakuwa Diamond jubelee VIP hall kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku tafadhali muda uzingatiwe.


Pata ticket yako mapema tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mlimani city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000 pia 8020fashions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni wanatoa na ofa ya kuchagua zawadi yoyote....PIA mlioko mjini piga namba 0716485666.Ticket ni tsh 30,000. 
Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 18 kesho.


 Imedhaminiwa na Tsn Supermarket,cocacola,sossi na clouds fm

Friday, October 12, 2012

KITCHEN PARTY ACCESSORIES....african taste

hii ilikuwa ni set ya kitchen party...
 
walitupia vitu kama hivyo wakatokea kiafrica zaidi.... gharama ya kuonekana wa tofauti ni wewe tu kutoa tu order yako mapema na tunajadili nini na nini uongezee kunakshi muonekano wako..
 
 
maids pia nao hupatiwa sare ya viatu...hereni...bangles na hair bands...
 
kiufupi ni wewe tu......0713092355 kwa mawasiliano zaidi
 
 
 
 
 
 
 
 
ikupa mama asante kwa kunichagua katika kuweka muonekano wako wewe na matron wako kiafrica zaidi....