Tuesday, March 1, 2011

Style Moto Moto

Hivi ndo ilivokuwa.....Kim Dean alifungua Dimba la Maonyesho akisindikizwa na urembo uliobuniwa na Linda August.....Hapakutosha kimtindo....palichimbika kwa ukali wa ubunifu....ni madocs ndani ya kazi....yaani usipime...












 hapa ni mwanamitindo eva akiwa ndani ya vazi la kim...tayari kwa ufunguzi
 backstage

No comments:

Post a Comment