Safari hii iliwajumuisha wanamitindo Khadija Mwanamboka(mwenyekiti wa TMH) na Zamda George waliowawakilisha wanamitindo wengine wa Tanzania
kulia ni Khadija,Amb Begum na Zamda
Dr. Kim Dean nae alikuwa miaongoni mwa wanamitindo wa Tanzania aliyepeprusha ubunifu wake kwenye jukwaa hilo la kimataifa. Am so touched with her spirit.. she is busy but she managed to do it even when she was out reach
kwa picha zaidi angalia TMH BLOG
No comments:
Post a Comment