nina ipenda sana hii saa,
kiukweli nimeizimikia hadi sasa najishaa,
niliisubiria usiku mchana hadi jua likacheweaa,
sikujua cha kuongea nilibaki nimeduwaa,
usingenisitiri ila ungenikidhi kwa sanaa,
wacha niseme hizi hisia hiki kitu ni kifaa,
ndoto za abunuwasi ila afrika utatuaa.
endelea kutujituliza popote ulipokaa....
No comments:
Post a Comment