Ni wakati mwingine tena,
nikiwajulia hali zenu tena,
nikiamini wengi mna afya tena,
nawapa shukrani tele,
wale mlioitembelea hii blog tena,
kwa wageni karibuni tena,
Leo, kesho na daima mueke kambi tena na tena!!!!
maggie wooden earings!
inspired by a beautiful friend of mine, called saint Magdalene..aka dada Doctor, true kipenz! she just made me curve those earings with a broaden smile ever!!...
No comments:
Post a Comment