Showing posts with label colour of the year. Show all posts
Showing posts with label colour of the year. Show all posts

Friday, March 15, 2013

NI UBICHI UBICHI KWA SAAAAAANA 2013

mambo ya fashion statement huwa yanawekwa ili kusaidia  maisha yazidi kuwa na ladhaa....
usikuose japo nakshi moja moja ya mwaka kwa wardrobe.....
 to me its my favourate....
kijani the beauty colour of the brain....

Sunday, March 3, 2013

mtupio..... EMERALD

 
wamenoooooga wakinamama wa kinigeria.... yaani wanajijulia....
mavazi yaendanayo na miili yao...
sincerly i saluuuute their fashion statement!!!!