Saturday, July 7, 2012

African taste... we rock ur day


Lengo ni moja tu.. kumfanya mwanamke wa kiafrika kuwa nadhifu na mtanashati. unapendeza na kujiongezea umaridadi katika mwonekano wako..popote pale utakapokuepo.

Ukienda kanisani basi unafeel kweli  Mungu kaumba wewe ni wa kipekee...

Ukienda kwa harusi... haujisikii kuwa mbali na fashion yet ukiwa ndani ya vazi la heshima na staha.

Hatuishii hapo tutaendeleza haya yote hata tukiwa kwenye mikutano ya kimataifa.. Simple and elegant... na unajiongezea kujiamini..

Sina mengi ya kuelezea uzuri wa hii nguo... kwa mawasiliano 0713092355 country code ni +255

nadhifu....Elegant
one on the go....

speechless.....out of them words...
its coooooooooooool....

just whisper aloooud.....wow!!!


mhhhhhhhhh!!!!


Rachael dear.... thank u lots swirie.. u stay blessed always!!


No comments:

Post a Comment