Monday, September 17, 2012

SWAGGAZ za scurf....

Kwa sasa scurf zimeendelea kushikilia chat kwenye suala zima la kuongezea nakshi kwenye muonekano...
unaweza ukavaa plain cool colours and then ukaleta muonekano wa mvuto zaidi kwa kuvaa scurf yenye rangi ya mng'ao.. mfano mzuri ni huyu dada hapo chini aliyevaa black then akavaa scurf ya deep yellow.
Pia scurf inaweza kuvaliwa ili kupunguza uwazi wa mbele wa tops za v neck zilizoshuka sana ili kupunguza attention ya watu kifuani mwako inayoweza kukupelekea kukosa confidence...
Zaweza kuvaliwa pia kwenye sehemu yenye baridi kupunguza baridi shingoni ambayo hupelekea kujikumbatia na mikono na kukuletea embarrassment 








No comments:

Post a Comment